Leviticus 19:11-13

11 a“ ‘Usiibe.

“ ‘Usiseme uongo.

“ ‘Msidanganyane.

12 b“ ‘Usiape kwa uongo kwa Jina langu, na hivyo kulinajisi jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.

13 c“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako.

“ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.

Copyright information for SwhNEN